Typography

HESLB Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo 2025/2026 | HESLB Loan Allocation List PDF

Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2025/2026 – HESLB Laon allocation Status, Kwa mwaka wa masomo 2025/2026, HESLB inafanya uhakiki na upangaji wa majina ya wanafunzi watakaonufaika na mikopo hiyo. Orodha ya majina haya hutolewa kwa njia ya mtandao, na wanafunzi walioomba mikopo wanaweza kuingia katika akaunti zao za SIPA (Student’s […]

Jinsi ya Kuingia/Kulogin Kwenye Akaunti ya HESLB

Fahamu Jinsi ya Kuingia kwenye kaunti yako ya HESLB ikiwa umejisajili (registered user), mwanafunzi(continuous student) au akaunti yako ya SIPA (Student’s Individual Permanent Account). HESLB imeanzisha Mfumo wa Mtandaoni wa Maombi na Usimamizi wa Mikopo (OLAMS) ili kurahisisha mchakato wa maombi na usimamizi wa mikopo kwa wanafunzi. Mfumo huu unawawezesha wanafunzi kuomba mikopo, kufuatilia hali ya maombi […]

Back To Top